UFAFANUZI WA MWONGOZO WA MAWAKILI KUWAONA MAHABUSI MAGEREZANI Wizara inapenda kukujulisha kuwa utaratibu uliopo kwa mujibu wa sheria na taratibu unatoa fursa kwa watu wote wakiwemo mawakili kuwaona wateja wao (Wafungwa/Mahabusu)katika siku za Jumamosi, Jumapili na siku za sikukuu. Aidha, ili kuweza kuwaona wafungwa/mahabusu katika siku za kazi (Jumatatu -Ijumaa) utahitaji kibali maalum ambacho huombwa […]