Photos

Mwanasheria mkuu wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Baadhi ya viongozi wa Baraza la Uongozi TLS wakiongozwa na Rais
walimtembelea mwanasheria mkuu wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Prof. Adelardus Kilangi na kubadilishana mawazo na mikakati mbalimbali juu ya mambo yahusuyo sheria pamoja na wanachama

Wizara ya Katiba na Sheria

TLS yaitembelea Wizara ya Katiba na Sheria
na kukutana na viongozi wa wizara hiyo. Mh Waziri Profesa Palamagamba Kabudi ahimiza ushirikiano na weledi katika kazi huku akiitaka TLS kutimiza wajibu wake ipasavyo kwa Serikali, Bunge, Mahakama na Wananchi kwa ujumla.

Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora

Baraza la Uongozi la TLS limeitembelea ofisi ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Dodoma, lengo likiwa ni kukuza mahusiano & mikakati ya ushirikiano katika kazi. Mwenyekiti wa Tume Jaji Mstaafu Mathew M. Mwaimu amelipokea Baraza hilo lililoongozwa na Rais Dr Edward Hoseah

Embassy of the Delegation of the European Union to Tanzania.

Yesterday, the President of the Tanganyika Law Society, Dr. Edward Hoseah paid a courtesy visit to the Ambassador Manfredo Fant of the Embassy of the Delegation of the European Union to Tanzania. The visit aimed at strengthening the relationship between these two institutions.

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Baadhi ya viongozi wa Baraza la Uongozi la TLS wakiongozwa na Rais,
wamemtembelea Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Job Ndugai.
Ziara hiyo ilianza kwa kuhudhuria kipindi cha maswali na majibu bungeni wiki iliyopita.

Calendar
July 2022
M T W T F S S
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031

Get In Touch

Latest Posts

Shopping Cart

No products in the cart.