Hotuba ya Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamisi Juma pamoja na ya Raisi wa Chama cha Wanasheria Tanganyika Prof. Edward Hoseah; Kilele cha Siku ya Sheria, 2023. Mgeni rasmi wa maadhimisho hayo, Mh Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amevitaka vyombo vinavyoshughulikia masuala ya usuluhishi kutenda haki ili […]