Mpendwa Mwanachama, Ni matumaini yetu una afya njema na unaendelea na shughuliza zako za kila siku, Kumekuwa na utaratibu wa mawakili kupata adhabu ya asilimia Hamsini ya ada ya Mahakama pale ambapo wanachelewa kuhuisha leseni zao. Adhabu hii imekua ikitolewa kuanzia tarehe 01 mwezi Februari kila mwaka. Kutokana na kuwekwa kwa adhabu hii kinyume na […]