Tuzo za Usuluhishi kwa Mwaka 2024 Mpendwa Mwanachama, Salaam, Tunapenda kukufahamisha kuwa, Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) na Kituo cha Kimataifa cha Usuluhishi wa Migogoro (TIAC) tumepokea barua ya mualiko ya kushiriki Tuzo za Usuluhishi kwa Mwaka 2024 zilizoandaliwa na Mahakama Kuu ya Tanzaniakupitia Mahakama Kuu kituo cha Usuluhishi. Tuzo hizo zina lengo la kutambua […]