TAARIFA KWA UMMA Suala la mwananchi aliyedhaniwa kuwa wakili ambaye tarehe 23 Mei 2023 aliripotiwa kufanya fujo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi – Kisutu – Dar es salaam. Tunapenda kuwafahamisha Wanachama wote wa TLS, Wadau wa TLS, Vyombo vya Habari na Umma wa Watanzania kwamba, “TLS TUMEJIRIDHISHA PASIPO SHAKA KWAMBA MHUSIKA WA TUKIO HILO NDUGU […]