TAARIFA KWA UMMA
Suala la mwananchi aliyedhaniwa kuwa wakili ambaye tarehe 23 Mei 2023 aliripotiwa kufanya fujo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi – Kisutu – Dar es salaam.
Tunapenda kuwafahamisha Wanachama wote wa TLS, Wadau wa TLS, Vyombo vya Habari na Umma wa Watanzania kwamba, “TLS TUMEJIRIDHISHA PASIPO SHAKA KWAMBA MHUSIKA WA TUKIO HILO NDUGU BARAKA MKAMA SIO WAKILI NA SIO MWANACHAMA WA TANGANYIKA LAW SOCIETY.”
Pakua tamko zima hapa chini;-
Leave A Comment