PUBLIC STATEMENT ON THE ARREST OF ADVOCATE TUNDU A. LISSU / TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUKAMATWA KWA WAKILI TUNDU A. LISSU
Statement by the Governing Council on the Arrest of Senior Counsel Tundu A. Lissu
The Tanganyika Law Society (TLS) wishes to inform its members and the public that a formal statement has been issued by the Governing Council regarding the recent arrest of Senior Counsel Tundu A. Lissu. The statement addresses the circumstances surrounding the incident and outlines TLS’s position and next steps in accordance with its mandate to represent, protect, and assist its members. /
Taarifa ya Baraza Kuu la Uongozi Kuhusu Kukamatwa kwa Wakili Mwandamizi Tundu A. Lissu
Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kinapenda kuwataarifu wanachama wake na umma kwa ujumla kuwa Baraza la Uongozi limetoa taarifa/kauli rasmi kuhusiana na tukio la kukamatwa kwa Wakili Mwandamizi Tundu A. Lissu. T.
Kusoma taarifa kamili bofya chini.
Regards,
|Tanganyika Law Society Secretariat
|Plot No. 391|Chato Street|Regent Estate P.O. Box 2148, Dar es Salaam,
|Tanzania; Tel: +255 222775313; E-mail:
Leave A Comment