Nilikuwa nadaiwa na bank baada ya kukopa pesa niliposhindwa kulipa bank wakataka kuuza nyumba yangu nashukuru TLS wamenisaidia wakili wa kuniwakilisha mahakamani na kwa sasa nalipa deni langu na nyumba iko salama
WhatsApp us