APPOINTMENT OF A TEAM OF EXPERTS TO ANALYSE THE PROPOSED INTERGOVERNMENTAL AGREEMENT BETWEEN THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA AND THE EMIRATE OF DUBAI CONCERNING ECONOMIC AND SOCIAL PARTNERSHIP FOR DEVELOPMENT AND IMPROVING PERFORMANCE OF SEA AND LAKE PORTS IN TANZANIA – October 2022.
The Governing Council of Tanganyika Law Society, has taken note of a proposed intergovernmental agreement stated above and which TLS became aware of on 6th June 2023. TLS took notice of the call for a public hearing and invitation to stakeholders by the Parliament of Tanzania to submit comments in respect to the above stated agreement. The said public hearing was meant to happen on 7th June 2023. TLS also took notice of the rapidity and alacrity through which the matter is handled. Given the nature, potential implications, urgency and sensitivity of this proposed agreement, the Governing Council of TLS has decided to appoint a team of experts from among its membership to analyse the proposed agreement (which is hereby attached). The following are hereby duly appointed by GC in that regard:-
- Adv. Aisha Sinda, TLS Vice President – Team Chairperson
- Senior Adv. Dr Hawa Sinare – Vice Chairperson of the Team
- Senior Adv. Mpale Kaba Mpoki – Member
- Adv. Stephen Mwakibolwa – Member
- Adv. Mackphason Mshana – Secretary
Scope of work
The team shall immediately convene, and undertake the following: – - Analysis of the proposed intergovernmental agreement between the united republic of Tanzania and the Emirate of Dubai concerning economic and social partnership for development and improving performance of sea and lake ports in Tanzania – October 2022
- Consultations with such relevant individuals who may provide additional information to enrich the analysis, findings and recommendations
- Comparative study on similar inter-governmental agreements in other jurisdictions – particularly those involving the Emirate of Dubai
- By 12th June to provide a detailed report of the analysis with recommendations to TLS Governing Council including:
a. Legal status of the clauses/terms which have stirred up the public outcry – i.e. Termination; dispute settlement; tenure; scope; sovereignty; and all such other terms that appear to be controversial;
b. Legal status of the agreement ratification process;
c. Legal implications to the Country and foreseeable legal matters in future
d. Possible steps that TLS can take in order to address any such controversies, anomalies, or legal issues if any
e. Any other aspect that the team will deem important to address
Dated at Dar es Salaam this 7th June 2023 with approval of the Governing Council of TLS
Harold Sungusia
TLS President – 2023/2024
4 Replies to “APPOINTMENT OF A TEAM OF EXPERTS TO ANALYSE THE PROPOSED INTERGOVERNMENTAL AGREEMENT BETWEEN THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA AND THE EMIRATE OF DUBAI”
Nimependezwa na hii comment:
Quote ‘ Kwa mujibu wa Ibara ya 8(1) ,(a) ya katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ikisomwa pamoja na Ibara ya 27(1) na (2) ya Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 toleo la 2008 bila hofu wala hiyana na wahimiza watanzani kulataa ghiliba na ujanja ujanja kwani Mkataba huu wa Bandari una sura ya kinyonga na hautabiriki
Ni mkataba ambao ulisainiwa kwa mwendokasi bila kuchukua tahadhari juu ya madhara yake yaliyo dhahiri. Mkataba huu haukubaliki kwa sababu nyingi Sana.
*Moja* , ni *mkataba* *wa* *milele* kwa sababu hauna ukomo. Najua wapo waliosema ni wa miaka 100 na wapo waliosema ni wa miezi 12.
Hawa wote sijui wametoa wapi huo muda wa mkataba. Ibara ya 23 ya mkataba na randama zake (appendixes) zake hakuna popote zinaonyesha mkataba huu ni wa muda gani. Hii inaweza kutafsiriwa kuwa ni mkataba wa kudumu.
Ni kweli unaweza kuwa miaka mia lakini pia hakuna Cha kuzuia uwe wa miaka 1000.
Pili, *mkataba* huu *unanguvu* *kuliko* *Sheria* *za* *Tanzania* pamoja na Sheria za *kimataifa* ( Takes precedent over national and international law)
Mathalani Ibara 23( 4) hairuhusu kuvunja mkataba huu hata pakiwa na ukiukwaji mkubwa ( material breach) au kukitokea hali inayopelekea mkataba usitekelezeke ( fundamental change of circumstances) ambalo ni Takwa la mkataba wa kimataifa uitwao Vienna Convention on the Law of Treaties,1969 ambao Tanzania imejifunga nao.
Sasa hii tafsiri yake ni kwamba baada ya kusaini mkataba huu hata Dubai wakikiuka kabisa hatuwezi kujitoa. Hicho ni kitu Cha ajabu mno dunia itatushangaa.
Mbaya zaidi mkataba hausemi je una nafuu ili mbadala ukiachilia mbali kuvunja mkataba.
Kifungu Cha 23( 4) kinaenda mbali zaidi na kusema ikitokea sababu yeyote inayotambulika kwenye Sheria za kimataifa ya kupelekea kuvunja mkataba bado mkataba huu hautavunjwa.Tafsiri yake ni kwamba tumeingia kwenye shimo ambalo halina pa kutokea( coup de sac) .
*Tatu* , *mawanda* ( *scope* ) ya mkataba pia ni mapana, ni Kama hayana ukomo. Ibara ya 2(1) itaruhusu muwekezaji kujenga na kuendesha miradi ya bandari za Bahari na maziwa yote.
Mkataba unakwenda mbali zaidi hata kwenye kile kinachoitwa *logistic* *parks* na *trade* *corridors* ambazo bahati mbaya hazijatafisiriwa kwenye mkataba.
Kwa namna mkataba huu ulivyo sisi tutakuwa tumepoteza udhibiti wa bandari zote za bahari na maziwa yote.
Mkataba ungeweka wazi ni bandari zipi hasa kwa sababu kwa namna ya Sasa hata usalama wa nchi unaweza kuwekwa rehani.
*Nne* , mkataba hausemi sisi tutapata nini( consideration) kwa maana ya faida za mradi. Je sisi tutakusanya Kodi tu? Au tutakuwa wabia?
*Tano* , mkataba hauonyeshi nafasi ya mamlaka ya bandari( TPA) ni ipi katika uendeshaji wa mkataba. Kumbuka kwa mujibu wa sheria TPA ndo chombo chenye mamlaka ya kuendesha bandari zote. Sasa je mkataba huu umefuta sheria hiyo? Kwa mamlaka gani?
Mkataba hauelezei kuhusu usalama wa mapato yetu bandarini na nafasi ya vyombo vya ulinzi na usalama kwaajiri ya usalama wa nchi yetu hasa kwenye marine.
Nafasi pekee ya TPA kwa mujibu ya randama ya kwanza imeachiwa kuendesha na kusimamia ” DHOW AND WHARF TERMINAL” ya bandari ya Dar es Salaam.
*Sita* , pamoja na kuweka kipengele Cha local content ili kunufaisha wazawa kwenye ajira na manunuzi kwenye ibara 13( 2) ibara hiyo haina maana yoyote Kwanza kwa sababu haiweki wazi kwamba threshold ya wazawa kwenye ajira itakuwaje.
Pili hata procurement( manunuzi) ya vitu au items au huduma zinazopatikana ndani hailindwi na mkataba kwa sababu kwa mujibu wa ibara ya 6(2) ya mkataba huu serikali yetu hauruhusiwi kufanya usumbufu wowote (interference) yoyote hata kwenye manunuzi yanayokiuka Sheria isipokuwa tu Kama yanahatarisha usalama( safety and security).
Sasa je wakiamua kuagiza mbao Dubai wakati hapa nchini zipo utawazuia kwa kigezo Cha usalama?
*Saba* , mkataba *hausemi* *nani* *atawajibika* *kulipa* *fidia* yoyote inayotokana na utekelezaji wa mradi pamoja na watumishi ambao ajira zao zinaweza athiriwa na mradi.
*Nane* , pamoja na kwamba ibara ya 26 ya mkataba inaelekea kuruhusu reservation utagundua kwa namna ibara ya 24 ilivyo imepoka kwa mkono mwingine haki ya reservation iliyopo kwenye ibara ya 26 hivyo sioni uwezekano wa nchi yetu kufanya reservation kwenye makubaliano bila kukwaza mkataba.
Kwa namna ya mkataba huu tukifanya reservation Sasa ivi inaweza kupelekea nchi iingie kwenye mgogoro wa kukiuka mkataba.
*Tisa* , hata kuridhiwa kwa mkataba huu na Bunge tayari umefanyika nje ya muda.
Ibara ya 25(2) ilitaka mkataba uridhiwe ndani ya siku 30 tu na leo ni zaidi ya miezi Saba.
*Kumi* , kwa mujibu wa ibara ya 8(3) (c ) mkataba huu ni kama unatoa umiliki wa ardhi kwa mwekezaji kinyume na Sheria ya ardhi.
Kwa mujibu wa sheria ya Ardhu Sura ya 113 Kampuni ya kigeni hairuhusiwi kumiliki ardhi Tanzania.
Tulitegemea mkataba useme ardhi zitakuwa chini ya TPA au mamlaka nyingine za serikali na wao watapata derivative rights badala ya kuwapa ardhi kwa mgongo wa lease hold.
BAK Mwabukusi
Shambani Busokelo
Kwa hisani ya Wakili Msomi Edson Kilatu’ Unquote
Habari yako wakili msomi. Tafadhali nisaidie soft copy ya hizi hoja. I humbly submit
Tunaendelea kuzitafuta kwa wahusika na tutazituma kwako mara baada ya kuzipata
Hiyo HGA ni makubaliano tuu, MoU na sio mkataba, yaani ni an agreement na sio contract. Kila mkataba ni agreement, lakini sio kila agreement ni mkataba, mfano mzuri ni muungano wa Tanganyika na Zanzibar kuunda Tanzania, ni makubaliano tuu na sio mkataba, mkifika mahali mkashindwa kuelewana, mnagawana tuu fito, kila mtu anasepa kivyake Je, Wajua Kuwa Tanzania Hatuna Mkataba wa Muungano?. Kilichopo ni Makubaliano Tuu ya Muungano?!.
Hivyo kile Bunge letu lilichoridhia, ni agreement tuu, tukiithibitishia serikali yetu, hawa DP World, pamoja na uzuri wao wote, pamoja na uwezo wao mkubwa wa kuendesha Bandari kibao, lakini ni matapeli na wana matatizo lukuki, hivyo serikali yetu iwe makini sana kabla ya kusaini HGA, na utepeli wao, ukiwekwa wazi hadharani peupe, kila mwenye macho aone, tutaisaidia sana serikali yetu, tutamsaidia sana Rais wetu Samia na kulisaidia taifa letu Tanzania tusiingizwe tena mkenge na Mwarabu wa Dubai kama alivyofanywa Chief Mangungo, hivyo serikali yetu, viongozi wetu na Bunge letu kuridhia fasta fasta kwasababu tuu, Mwarabu wa Dubai ni mtu Rahim, mkarimu, amemkirimu Mama yetu kuipaisha bure Tanzania kwenye Expo Dubai, akawakirimu waserikali wetu, kwa trips za Dubai, akawakirimu waheshimiwa wabunge wetu kwa trips za Dubai, na kuwakirimu waandishi wetu wa habari na media zetu kwa trips za Dubai.
Japo Rais wetu, Mama Samia, ana nia njema ya kweli na ya dhati kulisaidia taifa letu, lakini anapokutana na matapeli wa kimataifa wakamuingiza mkenge, sisi watu wa Mhimili wa Nne, the media, tuna wajibu wa kulisaidia taifa letu kwa kuonyesha utepeli huo uko wapi, kisha serikali yetu ikiamua kuendelea na HGA ya Mwarabu wa Dubai, hivyo hivyo ilivyo, sisi watu wa media, tutakuwa na a clear conscious kuwa angalau tumetimiza wajibu wetu, tumeieleza serikali yetu inavyotaka kuingizwa mkenge na kutapeliwa, hivyo vipengele vya mkataba wa HGA viboreshwe na kazi, iendelee!.
Kwa vile mimi licha ya kuwa ni mwandishi tuu wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, mimi pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea, kwa kujitolea kutetea bure haki kwa wasio na uwezo, hivyo nitawaletea makubaliano hayo na kuwachambulia kuwaonyesha jinsi tunavyotaka kutapeliwa mchana kweupe.
Utapeli wa kwanza mkubwa, ni hakuna mtu yoyote kati yetu aliyefanya a due diligence report ya DP World, tunaelezwa ni Governmental Organisation, wakati sii kweli, it’s a private company!. Kabla ya kuingia mkataba wowote, lazima kwanza kufanyike kitu kinachoitwa a due diligence process na kutolewa a due diligence report. Hili halikufanyika hivyo serikali yetu kujikuta inaingia mkataba wa kimataifa na parties to contract which has no capacity to contract international treaty hivyo ku vitiate makubaliano kugeuka void hivyo makubaliano hayo yanakuwa null and void ab initio!. NB. Mtu au kampuni, taasisi yoyote ya Kitaifa au kimataifa, inaweza kuingia mkataba na mtu, kampuni, serikali lakini sio international Treaty, ni international contracts or agreements za non state parties.
Mkataba wa IGA na HGA wa state parties inaingiwa kati ya serikali na serikali za nchi na nchi, hivyo ukisoma documents za makubaliano utaona ni kati ya serikali ya Tanzania na serikali ya UAE, lakini signatories kwa serikali ya Tanzania ni serikali kweli, lakini kwa serikali ya UAE, signatories ni Mwarabu wa Dubai wa DP World na sio serikali ya UAE, kwenye mkataba wameandika serikali ya Dubai, Dubai is not a state, hivyo hapa kunauwezekano tunatapeliwa!. Serikali yetu inaingizwa mkenge kuingia mkataba na a private company disguised as a government of UAE kumbe ni kampuni binafsi!. 1686460927642.png
Mkataba Kati ya serikali ya Tanzania na Dubai ni batili kwenye sheria za kimataifa. Maana Dubai sio nchi, a sovereign state kama ilivyo Tanzania, Dubai hapa inajitambulisha kama a State Party, Dubai is not a state hivyo haiwezi kuwa a state party, it has no the capacity to transact as an international state IGA, haiwezi kuingia mikataba ya kimataifa na nchi na nchi!, inaweza kuingia mkataba wa kimataifa wa nchi na kampuni au kampuni na taasisi kama ilivyoingia na mamlaka ya Bandari, taasisi kwa taasisi, kama ilivyofanya hapa 1686461228426.pngambapo DP World iliingia mkataba na Mamlaka ya Bandari TPA, mkataba ambao Rais Samia aliushuhudia ukisainiwa kule Dubai during Expo Dubai.
Sasa kampuni hii ya DP World iliyoingia mkataba na mamlaka ya Bandari, sasa inajigeuza nchi, sovereign state of Dubai, imeingia mkataba wa kimataifa wa state party na serikali yetu!, huku ni kututapeli!. Dubai is not a state, it’s not a nation na nchi isiyo na sovereignty!. DP World is not a state, it’s a private company, hapa imejigeuza ni nchi!. Huu sio utapeli?. 1686466691966.png
Mikataba ya kimataifa ya state parties, inaingiwa kati ya nchi na nchi, hapa nchi inayotambuliwa ni Falme ya Kiarabu, UAE, ndio inayotambulika kwenye sheria za kimataifa as a state, na sio Dubai ambayo ni sehemu ya UAE, sio state, hivyo hapa kuna utapeli!. Due diligence ingefanyika, hili lingeonekana!.
Status ya Dubai kwe UAE ni sawa na status ya Zanzibar ndani ya JMT, Zanzibar has no capacity to transact an international treaty kwasababu Zanzibar sio sovereign state, haina sovereignty. Dubai pia sio sovereign, hivyo mikataba yote ya kimataifa ya Zanzibar, inaingiwa na JMT kwaniaba ya Zanzibar, IGA na HGA inapaswa kuingiwa kati ya Tanzania na UAE na sio Tanzania na Dubai!.
DPW ni kampuni kama inavyoonyesha hapa1686466821809.png
Wanasheria wanapoamua kufanya magumashi ya kisheria, wanakuzuga kwa maneno ya kweli kwenye mkataba, mfano hapa Dubai inatambulishwa kama nchi,1686466895812.pnglakini mkataba wetu hii iliyoandikwa kama nchi, sio nchi kweli bali ni kampuni ya DPW!.
Kwa vile kwa upande wetu ni serikali yetu, ili kuonyesha IGA ni kati ya serikali mbili, hapa wameitaja kampuni ya kiserikali ili kuiserikalisha kampuni binafsi ya DPW kuwa ni serikali 1686466969407.png
Hivyo mikataba ya HGA utaokuja kuingiwa na serikali yetu, sio mkataba wa kimataifa wa kiserikali kati ya serikali yetu na serikali ya UAE, lakini hakuna chochote cha UAE bali kampuni binafsi ya DPW iliyoserikalishwa na kujifanya ni serikali!.1686467041823.png1686467116175.png
Kwa vile mikataba ya kimataifa inahusisha state parties, HGA inayokwenda kuingiwa ni HGA kati ya nchi ya Tanzania ambayo ni state na kuingia na DPW iliyo ji stetisha kama a state ambapo huu pia sio utapeli?.1686467223681.png
Kwa Tanzania mamlaka yote ya nchi, mtu yoyote ili asaini mkataba wa kimataifa wa kuiingiza nchi, anapaswa apewe the Power of Attorney na Rais wa JMT. Hii hapa chini ni POA ya Rais Samia kumpa mamlaka Prof. Mbarawa kuingia huo mkataba kwa niaba ya Tanzania, 1686466333664.pngPOA hii kisheria ni defective, kwasababu japo imesainiwa na Rais Samia, lakini haina muhuri wa rais, au muhuri wa serikali, hizi documents za kisheria ikisemwa POA must be signed and stamped by the official seal, lazima iwe hivyo, not otherwise!, kama walivyofanya hawa counter parts hapa chini.1686466491072.png
Ili serikali yetu iingie kwenye mkataba wa kihalali wa kimataifa na taasisi ambayo sio nchi, kulitakiwa kuwepo POA toka UAE kuipa mamlaka Dubai kuingia mkataba wa kimataifa kwa niaba ya UAE, then ndipo Emirate wa Dubai angeweza kuwapa POA DPW kujigeuza ni nchi.
Hapa Prof. Mbarawa almanusura angekosea kusaini 1686466226745.png
Hakuna ubaya wowote kwa kampuni yoyote kuingia mkataba na serikali under PPP, lakini hili la kampuni binafsi iliyo serikalishwa kuingia an International treaty na serikali yetu, halikakaa vizuri!.
Jambo jingine, kuna kipengele cha kuizuia nchi isiendeleze Bandari nyingine, hivyo kuiweka mashakani Bandari ya Bagamoyo, hili halikubaliki hata kidogo!.
Hitimisho
Kwa vile Rais Samia ana nia njema ya dhati kuisaidia nchi yetu, wasaidizi wa rais na sisi Watanzania wengine wote tuna wajibu wa kumsaidia rais wetu na kulisaidia taifa letu na huu ndio uzalendo wa kweli.
Paskali.
Attachments
1686460858169.png
1686460858169.png
53.1 KB · Views: 3
Quote ReplyReport Edit
ThanksNzuri Reactions:The Humble Dreamer, Mzee Ngonyani, Herbalist Dr MziziMkavu and 42 others
Ushimen
Ushimen
JF-Expert Member
Oct 24, 2012 33,009 70,613
Sunday at 12:17 AM
Add bookmark
#2
1. Hakuna la maana ikiwa maridhiano mikataba haitowekwa wazi na iwe na kikomo.
2. Maridhiano na mikataba iandikwe kwa kiswahili ili namimi huku ibologelo nisome na kuelewa.
3. Mikataba na marishiano iundiwe tume huru itakayo ipitia kabla ya kuipitisha “kwa maslahi ya taifa.
4. Dp World ichunguzwe kwa tuhuma za kufukuzwa nchi zingine ili tufanye marekebisho isio ya kinyonyaji.
Maybe we should underpaid politicians and overpaid teachers, then they would be smarter people and less stupid laws…🤗🤗
Thanks Thanks Quote ReplyReport
Thanks Reactions:You, Sparh, wakatanta and 14 others
Erythrocyte
Erythrocyte
JF-Expert Member
Nov 6, 2012 107,419 191,008
Sunday at 12:19 AM
Add bookmark
#3
FB_IMG_1686331153731.jpg
Thanks Thanks Quote ReplyReport
Thanks Reactions:You, zipompa, Zeal of God and 10 others
Fortilo
Fortilo
JF-Expert Member
Apr 10, 2012 4,415 12,691
Sunday at 12:20 AM
Add bookmark
#4
Hapa umeongea kizalendo mkuu… shukrani
‘Always vote for principle, though you may vote alone, and you may cherish the sweetest reflection that your vote is never lost’…. John Quincy Adams
Thanks Thanks Quote ReplyReport
Thanks Reactions:You, Sparh, BRAZA CHOGO and 9 others
Erythrocyte
Erythrocyte
JF-Expert Member
Nov 6, 2012 107,419 191,008
Sunday at 12:22 AM
Add bookmark
#5
Fortilo said:
Hapa umeongea kizalendo mkuu… shukrani
Ikiletwa bahasha ya kaki anabadilika kama Balile
Thanks Thanks Quote ReplyReport
ThanksKichekoMshangao Reactions:You, Zeal of God, Ironbutterfly and 8 others
denooJ
denooJ
JF-Expert Member
Mar 31, 2020 16,425 59,380
Sunday at 12:23 AM
Add bookmark
#6
Tatizo hayo unayoita makubaliano inaonekana yameshaanza kutekelezwa since October 2022, kwa maana nyingine hapo ni kwamba, bunge la CCM jana limeridhia makubaliano ambayo tayari yalishaanza kutekelezwa, hapo ukitazama kwa makini utaona kabisa bunge halikuwa na ujanja wa kupinga kitu ambacho kimesharidhiwa na serikali ya mwenyekiti wao Samia.
Hapa kwa ufupi niseme kwamba, bunge limetumika kuhalalisha uhuni uliofanywa na serikali, nalo kwa kutokujitambua, likabariki uhuni huo, hivyo hapo ni kama serikali inafurahi imempata mjinga mwingine wa kufa nae, huku Spika Tulia akiwa ndie kiongozi wa hao wajinga.
Nachotaka hayo makubaliano/mkataba yavunjwe, naona kabisa kuna vitu vingi ambavyo havina haki kwetu ajabu tumeweka saini kwenye yale makubaliano, na inapoonekana Mbarawa mzanzibari, na Samia mzanzibari wote wamehusika, ndio inaumiza moyo zaidi, hawa wawili wana nia mbaya na wabara, ukweli usemwe tu.
Thanks Thanks Quote ReplyReport
ThanksNzuri Reactions:You, Sparh, wakatanta and 23 others
Missile of the Nation
JF-Expert Member
May 24, 2018 12,384 47,120
Sunday at 12:24 AM
Add bookmark
#7
Hivi wewe kazi yako katika kitengo ni KUWA SPIN DOCTOR?
Hebu acha kujaribu kutuliza Hasira zetu. Unazidi kutuumiza!
Thanks Thanks Quote ReplyReport
ThanksKicheko Reactions:You, Bejamini Netanyahu, Zeal of God and 12 others
Akasankara
JF-Expert Member
Feb 28, 2015 3,632 4,615
Sunday at 12:24 AM
Add bookmark
#8
Mnahangaika kuuza nchi
Thanks Thanks Quote ReplyReport
Thanks Reactions:You, BRAZA CHOGO, Zeal of God and 5 others
Blender
Blender
JF-Expert Member
Mar 5, 2022 1,294 1,863
Sunday at 12:28 AM
Add bookmark
#9
Ulivyo anza Kwa kusema bunge letu tukufu , tiyaru tumeshajua ww ni MTU wa hovyo sana Yan
Thanks Thanks Quote ReplyReport
ThanksNzuri Reactions:You, Sparh, BRAZA CHOGO and 14 others
Adolph Jr
Adolph Jr
JF-Expert Member
Nov 5, 2016 4,052 5,444
Sunday at 12:29 AM
Add bookmark
#10
Ni posa tu,mkataba bado
Kijukuu cha hitler
Thanks Thanks Quote ReplyReport
Thanks Reactions:You, Zeal of God, raraa reree and 1 other person
Bulesi
Platinum Member
May 14, 2008 13,208 12,083
Sunday at 12:30 AM
Add bookmark
#11
Missile of the Nation said:
Hivi wewe kazi yako katika kitengo ni KUWA SPIN DOCTOR?
Hebu acha kujaribu kutuliza Hasira zetu. Unazidi kutuumiza!
Hawa waandishi wa magazeti wameahidiwa fedha iwapo watapigia Debe mkataba wa kuuza nchi!
These mercenaries are now busy spinning to facilitate the sale of our country kama Mangungo wa Mvomelo alivyouza kwa shanga enzi hizo za utumwa!
Thanks Thanks Quote ReplyReport
Thanks Reactions:You, Zeal of God, Kichogo and 6 others
Just Distinctions
Just Distinctions
JF-Expert Member
May 5, 2016 1,598 2,171
Sunday at 12:34 AM
Add bookmark
#12
Makubaliano yalikuwa kwenye memorandum of understanding, vyote vinavyofata baada ya hapo ni mkataba halali na sio makubaliano. Ila yote kwa yote na cha msingi zaidi ni vipengele vilivyopo ndani ya mkataba, je ni rafiki kwa kila mmoja au ni kwa upande mmojawapo???
Na je vipi ukomo wake??, Na je mmoja akitaka kujitoa je??? Na kadhalika na kadhalika na hapo ndipo wengi tunapopatwa na mashaka.
Dont Try to Understand Women, Women Understand Women And they Hate Each Other!:rolleyes:
Thanks Thanks Quote ReplyReport
Thanks Reactions:You, Zeal of God, oursociety and 3 others
Yoda
Yoda
JF-Expert Member
Jul 22, 2018 30,118 34,260
Sunday at 12:34 AM
Add bookmark
#13
Blender said:
Ulivyo anza Kwa kusema bunge letu tukufu , tiyaru tumeshajua ww ni MTU wa hovyo sana Yan
Hakika
Thanks Thanks Quote ReplyReport
Thanks Reactions:You, BRAZA CHOGO, Zeal of God and 3 others
Insidious
Insidious
JF-Expert Member
Oct 28, 2020 425 597
Sunday at 12:35 AM
Add bookmark
#14
Bulesi said:
Hawa waandishi wa magazeti wameahidiwa fedha iwapo watapigia Debe mkataba wa kuuza nchi!
These mercenaries are now busy spinning to facilitate the sale of our country kama Mangungo wa Mvomelo alivyouza kwa shanga enzi hizo za utumwa!
haha wanakuja na maneno ya kiingereza kujaribu kutuchanganya
Kesho nayo siku
Thanks Thanks Quote ReplyReport
Thanks Reactions:You, Zeal of God, econonist and 3 others
mwengeso
mwengeso
JF-Expert Member
Nov 27, 2014 8,895 6,217
Sunday at 12:39 AM
Add bookmark
#15
Pascal Mayalla said:
Wanabodi,
Bunge letu tukufu, limeridhia makubaliano ya IGA kati ya Serikali ya UAE na Tanzania, kampuni ya DP World ya Mwarabu wa Dubai, kutuendeshea Bandari zetu.
Kuna watu wana support hatua hiyo kwa hoja za msingi, kuwa DP World ni kampuni kubwa na ina uwezo mkubwa hivyo itatusaidia sana. Na kuna wanaopinga wakiwaita DP World ni matapeli, hivyo kitendo cha Bunge letu kuridhia hiyo IGA, kumewafanya wachoke na kudhani, it’s the end of the road. Naomba kuwapa faraja kuwa it’s not the end!.
Hiyo HGA ni makubaliano tuu na sio mkataba, yaani ni an agreement na sio contract. Kila mkataba ni agreement, lakini sio kila agreement ni mkataba, mfano mzuri ni muungano wa Tanganyika na Zanzibar kuunda Tanzania, ni makubaliano tuu na sio mkataba, mkifika mahali mkashindwa kuelewana, mnagawana tuu fito, kila mtu anasepa kivyake Je, Wajua Kuwa Tanzania Hatuna Mkataba wa Muungano?. Kilichopo ni Makubaliano Tuu ya Muungano?!.
Hivyo kile Bunge letu lilichoridhia, ni agreement tuu, tukiithibitishia serikali yetu, hawa DP World, pamoja na uzuri wao wote, pamoja na uwezo wao mkubwa wa kuendesha Bandari kibao, lakini ni matapeli na wana matatizo lukuki, hivyo serikali yetu iwe makini sana kabla ya kusaini HGA, na utepeli wao, ukiwekwa wazi peupe, tutaisaidia sana serikali yetu na kulisaidia taifa letu tusiingizwe mkenge na Mwarabu wa Dubai kwasababu tuu ni mtu mkarimu, amemkirimu Mama yetu kuipaisha bure Tanzania kwenye expo Dubai, akawakirimu waserikali wetu, kwa trips za Dubai, akawakirimu waheshimiwa wabunge wetu kwa trips za Dubai, na kuwakirimu media na waandishi wa habari wetu kwa trips za Dubai.
Japo Rais wetu, Mama Samia, ana nia ya kweli na ya dhati kulisaidia taifa letu, lakini anapokutana na matapeli wa kimataifa wakamuingiza mkenge, sisi watu wa Mhimili wa Nne, the media, tuna wajibu wa kulisaidia taifa letu kwa kuonyesha utepeli uko wapi, kisha serikali yetu ikiamua kuendelea na HGA ya Mwarabu wa Dubai, sisi watu wa media, tutakuwa na a clear conscious kuwa tumetimiza wajibu wetu, tumeieleza serikali yetu inavyotaka kuingizwa mkenge.
Kwa vile mimi licha ya kuwa ni mwandishi tuu wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, mimi pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea, kwa kujitolea kutetea haki bure, hivyo nitawaletea makubaliano hayo na kuwachambulia kuwaonyesha jinsi tunavyotaka kutapeliwa mchana kweupe.
Utapeli wa kwanza mkubwa, ni hakuna mtu yoyote kati yetu aliyefanya a due diligence report ya DP World, tunaelezwa ni Governmental Organisation, wakati sii kweli, it’s a private company!.
Mkataba wa IGA na HGA inaingiwa kati ya serikali na serikali, hivyo ukisoma documents za makubaliano utaona ni kati ya serikali ya Tanzania na serikali ya UAE, lakini signatories kwa serikali ya Tanzania ni serikali kweli, lakini kwa serikali ya UAE, signatories ni Mwarabu wa Dubai wa DP World na sio serikali ya UAE hivyo hapa tunatapeliwa!, serikali yetu inaingizwa mkenge kuingia mkataba na a private company disguised as a government of UAE kumbe ni kampuni binafsi!.
Jambo la pili, kuna kipengele cha kuizuia nchi isiendeleze Bandari nyingine, hivyo kuiweka mashakani Bandari ya Bagamoyo, hili halikubaliki hata kidogo!.
Kwavile saa hizi ni usiku mkubwa, Joni Mtembezi ananisisitiza nitembee tembee nae hivyo nitamalizia kesho.
Paskali.
Click to expand…Nasubiri ufafanuzi wako wa Ibara zenye utata, ikizingatiwa kuwa IGA ndio utakuwa Mkataba mama (referal agreement) wakati wa kuandaa HGAs.
Je, wewe umefanikiwa kuona na kusoma MoU kati ya TPA na DP World, kwa maana “boss” wa TPA ameitetea sana DPW?
Thanks Thanks Quote ReplyReport
Thanks Reactions:You, Zeal of God, raraa reree and 1 other person
Magonjwa Mtambuka
Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
Aug 2, 2016 27,199 21,380
Sunday at 12:42 AM
Add bookmark
#16
Mbowe kasema ataandamana.
Thanks Thanks Quote ReplyReport
Thanks Reactions:You, BRAZA CHOGO, Zeal of God and 1 other person
Mokaze
Mokaze
JF-Expert Member
Aug 3, 2018 14,381 14,751
Sunday at 12:43 AM
Add bookmark
#17
Pascal Mayalla said:
Wanabodi,
Bunge letu tukufu, limeridhia makubaliano ya IGA kati ya Serikali ya UAE na Tanzania, kampuni ya DP World ya Mwarabu wa Dubai, kutuendeshea Bandari zetu.
Kuna watu wana support hatua hiyo kwa hoja za msingi, kuwa DP World ni kampuni kubwa na ina uwezo mkubwa hivyo itatusaidia sana. Na kuna wanaopinga wakiwaita DP World ni matapeli, hivyo kitendo cha Bunge letu kuridhia hiyo IGA, kumewafanya wachoke na kudhani, it’s the end of the road. Naomba kuwapa faraja kuwa it’s not the end!.
Hiyo HGA ni makubaliano tuu na sio mkataba, yaani ni an agreement na sio contract. Kila mkataba ni agreement, lakini sio kila agreement ni mkataba, mfano mzuri ni muungano wa Tanganyika na Zanzibar kuunda Tanzania, ni makubaliano tuu na sio mkataba, mkifika mahali mkashindwa kuelewana, mnagawana tuu fito, kila mtu anasepa kivyake Je, Wajua Kuwa Tanzania Hatuna Mkataba wa Muungano?. Kilichopo ni Makubaliano Tuu ya Muungano?!.
Hivyo kile Bunge letu lilichoridhia, ni agreement tuu, tukiithibitishia serikali yetu, hawa DP World, pamoja na uzuri wao wote, pamoja na uwezo wao mkubwa wa kuendesha Bandari kibao, lakini ni matapeli na wana matatizo lukuki, hivyo serikali yetu iwe makini sana kabla ya kusaini HGA, na utepeli wao, ukiwekwa wazi peupe, tutaisaidia sana serikali yetu na kulisaidia taifa letu tusiingizwe mkenge na Mwarabu wa Dubai kwasababu tuu ni mtu mkarimu, amemkirimu Mama yetu kuipaisha bure Tanzania kwenye expo Dubai, akawakirimu waserikali wetu, kwa trips za Dubai, akawakirimu waheshimiwa wabunge wetu kwa trips za Dubai, na kuwakirimu media na waandishi wa habari wetu kwa trips za Dubai.
Japo Rais wetu, Mama Samia, ana nia ya kweli na ya dhati kulisaidia taifa letu, lakini anapokutana na matapeli wa kimataifa wakamuingiza mkenge, sisi watu wa Mhimili wa Nne, the media, tuna wajibu wa kulisaidia taifa letu kwa kuonyesha utepeli uko wapi, kisha serikali yetu ikiamua kuendelea na HGA ya Mwarabu wa Dubai, sisi watu wa media, tutakuwa na a clear conscious kuwa tumetimiza wajibu wetu, tumeieleza serikali yetu inavyotaka kuingizwa mkenge.
Kwa vile mimi licha ya kuwa ni mwandishi tuu wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, mimi pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea, kwa kujitolea kutetea haki bure, hivyo nitawaletea makubaliano hayo na kuwachambulia kuwaonyesha jinsi tunavyotaka kutapeliwa mchana kweupe.
Utapeli wa kwanza mkubwa, ni hakuna mtu yoyote kati yetu aliyefanya a due diligence report ya DP World, tunaelezwa ni Governmental Organisation, wakati sii kweli, it’s a private company!.
Mkataba wa IGA na HGA inaingiwa kati ya serikali na serikali, hivyo ukisoma documents za makubaliano utaona ni kati ya serikali ya Tanzania na serikali ya UAE, lakini signatories kwa serikali ya Tanzania ni serikali kweli, lakini kwa serikali ya UAE, signatories ni Mwarabu wa Dubai wa DP World na sio serikali ya UAE hivyo hapa tunatapeliwa!, serikali yetu inaingizwa mkenge kuingia mkataba na a private company disguised as a government of UAE kumbe ni kampuni binafsi!.
Jambo la pili, kuna kipengele cha kuizuia nchi isiendeleze Bandari nyingine, hivyo kuiweka mashakani Bandari ya Bagamoyo, hili halikubaliki hata kidogo!.
Kwavile saa hizi ni usiku mkubwa, Joni Mtembezi ananisisitiza nitembee tembee nae hivyo nitamalizia kesho.
Paskali.
Click to expand…
CCM na matakataka yake yote ni ya kuifukuzilia mbali, ili tupate manufaa ya nchi yetu ni lazima CCM ing’olewe tu, uzuri wa bahati kwa kuiingiza nchi katika mikataba/makubaliano hayo na Kampuni ya kitapeli ya kimataifa yenyewe imejipalia makaa ya moto— hakuna kuremba tena CCM must go as its fellow freedom fighter sister parties.
Thanks Thanks Quote ReplyReport
Thanks Reactions:You, gigabyte, Zeal of God and 3 others
Zanzibar-ASP
Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
Nov 28, 2013 9,095 30,190
Sunday at 12:47 AM
Add bookmark
#18
Pascal Mayalla said:
Wanabodi,
Bunge letu tukufu, limeridhia makubaliano ya IGA kati ya Serikali ya UAE na Tanzania, kampuni ya DP World ya Mwarabu wa Dubai, kutuendeshea Bandari zetu.
Kuna watu wana support hatua hiyo kwa hoja za msingi, kuwa DP World ni kampuni kubwa na ina uwezo mkubwa hivyo itatusaidia sana. Na kuna wanaopinga wakiwaita DP World ni matapeli, hivyo kitendo cha Bunge letu kuridhia hiyo IGA, kumewafanya wachoke na kudhani, it’s the end of the road. Naomba kuwapa faraja kuwa it’s not the end!.
Hiyo HGA ni makubaliano tuu na sio mkataba, yaani ni an agreement na sio contract. Kila mkataba ni agreement, lakini sio kila agreement ni mkataba, mfano mzuri ni muungano wa Tanganyika na Zanzibar kuunda Tanzania, ni makubaliano tuu na sio mkataba, mkifika mahali mkashindwa kuelewana, mnagawana tuu fito, kila mtu anasepa kivyake Je, Wajua Kuwa Tanzania Hatuna Mkataba wa Muungano?. Kilichopo ni Makubaliano Tuu ya Muungano?!.
Hivyo kile Bunge letu lilichoridhia, ni agreement tuu, tukiithibitishia serikali yetu, hawa DP World, pamoja na uzuri wao wote, pamoja na uwezo wao mkubwa wa kuendesha Bandari kibao, lakini ni matapeli na wana matatizo lukuki, hivyo serikali yetu iwe makini sana kabla ya kusaini HGA, na utepeli wao, ukiwekwa wazi peupe, tutaisaidia sana serikali yetu na kulisaidia taifa letu tusiingizwe mkenge na Mwarabu wa Dubai kwasababu tuu ni mtu mkarimu, amemkirimu Mama yetu kuipaisha bure Tanzania kwenye expo Dubai, akawakirimu waserikali wetu, kwa trips za Dubai, akawakirimu waheshimiwa wabunge wetu kwa trips za Dubai, na kuwakirimu media na waandishi wa habari wetu kwa trips za Dubai.
Japo Rais wetu, Mama Samia, ana nia ya kweli na ya dhati kulisaidia taifa letu, lakini anapokutana na matapeli wa kimataifa wakamuingiza mkenge, sisi watu wa Mhimili wa Nne, the media, tuna wajibu wa kulisaidia taifa letu kwa kuonyesha utepeli uko wapi, kisha serikali yetu ikiamua kuendelea na HGA ya Mwarabu wa Dubai, sisi watu wa media, tutakuwa na a clear conscious kuwa tumetimiza wajibu wetu, tumeieleza serikali yetu inavyotaka kuingizwa mkenge.
Kwa vile mimi licha ya kuwa ni mwandishi tuu wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, mimi pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea, kwa kujitolea kutetea haki bure, hivyo nitawaletea makubaliano hayo na kuwachambulia kuwaonyesha jinsi tunavyotaka kutapeliwa mchana kweupe.
Utapeli wa kwanza mkubwa, ni hakuna mtu yoyote kati yetu aliyefanya a due diligence report ya DP World, tunaelezwa ni Governmental Organisation, wakati sii kweli, it’s a private company!.
Mkataba wa IGA na HGA inaingiwa kati ya serikali na serikali, hivyo ukisoma documents za makubaliano utaona ni kati ya serikali ya Tanzania na serikali ya UAE, lakini signatories kwa serikali ya Tanzania ni serikali kweli, lakini kwa serikali ya UAE, signatories ni Mwarabu wa Dubai wa DP World na sio serikali ya UAE hivyo hapa tunatapeliwa!, serikali yetu inaingizwa mkenge kuingia mkataba na a private company disguised as a government of UAE kumbe ni kampuni binafsi!.
Jambo la pili, kuna kipengele cha kuizuia nchi isiendeleze Bandari nyingine, hivyo kuiweka mashakani Bandari ya Bagamoyo, hili halikubaliki hata kidogo!.
Kwavile saa hizi ni usiku mkubwa, Joni Mtembezi ananisisitiza nitembee tembee nae hivyo nitamalizia kesho.
Paskali.
Click to expand…Nadhani utakuwa unaota wewe.
Hiyo ndio imekwisha.
Hakuna tena cha kugeuza mambo.
Liwe jua au mvua hakuna kipya.
Watanganyika mmeshapigwa, tena mmepigwa kavu kavu, mchana kweupeee.
CCM Oyeeeee!
Thanks Thanks Quote ReplyReport
Thanks Reactions:You, Zeal of God, Richard and 4 others
sky soldier
sky soldier
JF-Expert Member
Mar 30, 2020 4,209 13,375
Sunday at 12:48 AM
Add bookmark
#19
Pascal tatizo lako una uchawa sometimes na hiii ni sababu una ndoto nyevu za kupata teuzi
Tangu lini kichwa kiingie mpini usizame 😂 😂
Thanks Thanks Quote ReplyReport
Thanks Reactions:You, Zeal of God, Kichogo and 5 others
Zanzibar-ASP
Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
Nov 28, 2013 9,095 30,190
Sunday at 12:51 AM
Add bookmark
#20
Mjane kaamua kuolewa na mwendawazimu baada ya mumewe wa awali kufariki, watoto watake au wasitake, mama yao ndio kaolewa hivyo, tena ndoa rasmi ya kikatoliki, ndoa ya milele, kifo tu ndio kitawatenganisha.
Thanks Thanks Quote ReplyReport
Thanks Reactions:You, Zeal of God, Kichogo and 5 others
1
2
3
…
9
Next
Write your reply…
Post reply
Attach files
Similar Discussions
Mag3
Je, CCM kama chama tawala kiliridhia na kubariki Mkataba wa Makubaliano na DP World?
Started by Mag3 Friday at 10:51 AM Replies: 7
Jukwaa la Siasa
econonist
Makubaliano Kati ya Tanzania na Dubai ni Batili kwenye sheria za kimataifa
Started by econonist Saturday at 9:01 PM Replies: 63
Jukwaa la Siasa
Roving Journalist
Uchambuzi wa mkataba wa ushirikiano wa kiuchumi na kijamii kwa ajili ya uendelezaji na uboreshaji wa utendaji kazi Bandari Tanzania na DP WORLD
Started by Roving Journalist Monday at 8:02 AM Replies: 7
Jukwaa la Siasa
Sildenafil Citrate
TPA: Serikali haijaipa DP World Kandarasi ya undeshaji Bandari ya Dar es Salaam kwa Miaka 100
Started by Sildenafil Citrate Jun 6, 2023 Replies: 210
Jukwaa la Siasa
OLS
Mtaalamu ashauri baadhi ya ibara ndogo katika ibara ya kwanza zifutwe kwenye mkataba na DP-World
Started by OLS Saturday at 7:15 AM Replies: 0
Jukwaa la Siasa
Share:
Facebook
Twitter
Reddit
WhatsApp
Email
Link
Forums General Forums Jukwaa la Siasa
Contact usTermsPrivacy PolicyHelp
JamiiForums would like your permission to enable push notifications.