User avatar
Msechu
Posts: 36
Joined: Mar 11, 2015 16:03:14

Matokeo ya Mpira kati ya Mawakili FC vs LST FC

Apr 28, 2016 00:04:00

Wasomi tunapenda kutoa taarifa kuwa mechi ya sikukuu ya Muungano kati ya Mawakili FC na LST FC ilimalizika kwa Mawakili FC kufunga bao 5 kwa 2. Tunatarajia kuendelea kufanya kichezo na Team zingine kama vile mahakama siku zijazo.

User avatar
Msechu
Posts: 36
Joined: Mar 11, 2015 16:03:14

Re: Matokeo ya Mpira kati ya Mawakili FC vs LST FC

May 2, 2016 00:05:00

safi