User avatar
idax
Posts: 2
Joined: Apr 15, 2016 23:04:15

Kwa nn TLS hamna hata timu ya mpira

Apr 18, 2016 00:04:00

inabidi muwe na timu ya mpira..

User avatar
idax
Posts: 2
Joined: Apr 15, 2016 23:04:15

Re: Kwa nn TLS hamna hata timu ya mpira

Apr 19, 2016 00:04:00

inabidi muwe na timu ya mpira..

Indax wewe ndio TLS hebu anzisha juhudi tukuunge mkono

User avatar
idax
Posts: 2
Joined: Apr 15, 2016 23:04:15

Re: Kwa nn TLS hamna hata timu ya mpira

Apr 19, 2016 00:04:00Indax wewe ndio TLS hebu anzisha juhudi tukuunge mkono

sorry kwa kukosea jina head

User avatar
Msechu
Posts: 36
Joined: Mar 11, 2015 16:03:14

Re: Kwa nn TLS hamna hata timu ya mpira

Apr 22, 2016 00:04:00

Kwa kuwa tarehe 26 April 2016 yaani Muungano day TLS itacheza na LST Students basi hapo mnaombwa wabobevu wa kandanda bila kujali umri mjitokeze ili tuunde Team bora ya Mawakili kwa ajili ya kujiweka physically and mentally feet!

User avatar
mrinaz
Posts: 1
Joined: Apr 6, 2016 00:04:06

Re: Kwa nn TLS hamna hata timu ya mpira

Aug 8, 2016 00:08:00

Msechu wrote:

Kwa kuwa tarehe 26 April 2016 yaani Muungano day TLS itacheza na LST Students basi hapo mnaombwa wabobevu wa kandanda bila kujali umri mjitokeze ili tuunde Team bora ya Mawakili kwa ajili ya kujiweka physically and mentally feet! 

Karibu kwenye Group la Kituclassic, tunaomba matangazo  yaanzie kwenye website ya www.kituclassic.com na kisha u share kwenye Group letu na mengine ulio nayo, sisi pia tuta share tangazo lako kwenye  ma group yetu 5 na page zetu 3 , NI BURE KABISA, na mtu atakuwa anakutafuta wewe mwenyewe kwa njia rahisi kabisa. Kwa maelezo zaidi Call/Whatsapp +255715812160

AZAM ameleta Fursa hiyooo mpaka miguuni..sasa unaweza kuuza , kununua bidhaa zako, kutafuta kazi, huduma kama za afya, gyms, masomo n.k kupitia www.kituclassic.com hii ni sehemu ya kila mtu kufanya biashara zake BURE kabisa na unapata fursa ya kutafutwa WEWE MWENYEWE na mamilioni ya wafanyabishara  wa dogo, wa kati na kubwa Africa mashariki  .  Ingia na jisajili bure , KUMBUKA UKIWEKA CHOCHOTE KILE KWENYE www.kituclassic.com UTATAFUTWA WEWE MWENYEWE KUPITIA TAARIFA ZAKO UTAKAZO WEKA KAMA NAMBA ZA SIMU, EMAIL n.k  anza kazi..ole wenu mulalamike hakuna hela tena…

Anezylitta Design

User avatar
jmathius
Posts: 2
Joined: Apr 6, 2016 01:04:43

Re: Kwa nn TLS hamna hata timu ya mpira

Aug 9, 2016 00:08:00

mrinaz wrote:

Karibu kwenye Group la Kituclassic, tunaomba matangazo  yaanzie kwenye website ya www.kituclassic.com na kisha u share kwenye Group letu na mengine ulio nayo, sisi pia tuta share tangazo lako kwenye  ma group yetu 5 na page zetu 3 , NI BURE KABISA, na mtu atakuwa anakutafuta wewe mwenyewe kwa njia rahisi kabisa. Kwa maelezo zaidi Call/Whatsapp +255715812160

AZAM ameleta Fursa hiyooo mpaka miguuni..sasa unaweza kuuza , kununua bidhaa zako, kutafuta kazi, huduma kama za afya, gyms, masomo n.k kupitia www.kituclassic.com hii ni sehemu ya kila mtu kufanya biashara zake BURE kabisa na unapata fursa ya kutafutwa WEWE MWENYEWE na mamilioni ya wafanyabishara  wa dogo, wa kati na kubwa Africa mashariki  .  Ingia na jisajili bure , KUMBUKA UKIWEKA CHOCHOTE KILE KWENYE www.kituclassic.com UTATAFUTWA WEWE MWENYEWE KUPITIA TAARIFA ZAKO UTAKAZO WEKA KAMA NAMBA ZA SIMU, EMAIL n.k  anza kazi..ole wenu mulalamike hakuna hela tena…

Anezylitta Design

 this is a test message..