logo
  • Home
  • About
    • Who We Are
    • What We Do
    • Leadership
      • TLS Governing Council
      • Chapters
      • TLS Committees
      • TLS Secretariat
    • STRATEGIC PLAN 2020-2024
    • Team Detail
  • Projects
  • Resources
    • Publications
      • Council Reports
      • Financial Reports
      • Research Report
      • Reports
      • Other Publications
    • Legislation
      • Main Legislation
      • Orders
      • Rules
      • subsidiary legislation
    • Regulation
    • Free CLE Points
  • Media
    • Wakili TV
    • Newsletter
    • gallery
  • Opportunities
  • Download Center
  • Contact
Need help? Talk to an expert
logo
logo

WAKILI TV

#section4wakilitv #ijuesheria #uchaguzimkuu #uchaguzi #uchaguzimkuu2025 #section4wakilitv #ijuesheria #mwabukusi
Rais wa TLS, Wakili Boniface Mwabukusi Atuma Ujumbe kwa Ofisi ya Mashtaka(DPP) na Polisi.
#ijuesheria #section4wakilitv #ccm #raissamia #raissamiasuluhuhassan #uchaguzimkuu #uchaguzi #uchaguzimkuu2025
Rais Samia Alivyotamatisha Kampeni za Kugombea Urais Kupitia CCM
#section4wakilitv #ijuesheria #ccm #raissamia #raissamiasuluhuhassan 

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kampeni tarehe 28 Oktoba, 2025, Mkoa wa Mwanza.
🔴LIVE: Mgombea Urais wa CCM Dkt. Samia Akihitimisha Kampeni - Mwanza
#ijuesheria  #section4wakilitv #uchaguzimkuu #uchaguzi #uchaguzimkuu2025
'Kuna Kikundi' Polisi Yatoa Onyo Kali Kuelekea Siku ya Kupiga Kura
#ijuesheria #section4wakilitv #uchaguzimkuu #uchaguzi #uchaguzimkuu2025 

Amesema hayo Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Jaji George Kazi wakati akizungumza na waandishi wa habari kutolea ufafanuzi tuhuma zilizotolewa na ACT Wazalendo mnamo tarehe 27 Oktoba 2025.
'Walete Ushahidi' Tume ya Uchaguzi Zanzibar Yakanusha Tuhuma za ACT Wazalendo
#ijuesheria #section4wakilitv #uchaguzimkuu #uchaguzi #uchaguzimkuu2025 

Ametoa tamko hilo mwenyekiti wa ACT Wazalendo Zanzibar na mgombea wa kiti cha urais Othman Masoud Othman tarehe 27 Oktoba 2025 wakati akizungumza na waandishi wa habari.
Tamko la ACT Wazalendo Kuhusu Kura ya Mapema Zanzibar
#ijuesheria #section4wakilitv #uchaguzimkuu #uchaguzi #uchaguzimkuu2025
'Msiogope' RC Chalamila Atoa Maelekezo Kuelekea Uchaguzi Mkuu
#ijuesheria #section4wakilitv #nyerere 

Ikiwa imebaki siku moja kabla ya taifa la Tanzania kuingia kwenye uchaguzi mkuu tarehe 29 Oktoba 2025, Wakili TV imekusogezea kumbukizi ya hotuba ya Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyoitoa Oktoba 22, 1986 kwenye mkutano wa CCM, Kizota Dodoma akisisitiza msingi wa amani ni haki.

Chanzo: TBC Fm
Msingi wa AMANI ni HAKI - Mwalimu Nyerere
Kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025
Load More... Subscribe
Awesome Image

About Us

The Tanganyika Law Society (TLS) is the Bar association of Tanzania Mainland, founded in 1954 by an Act of Parliament – the Tanganyika Law Society Ordinance 1954. The Tanganyika Law Society is currently governed by the Tanganyika Law Society Act, Cap 307 R.E. 2002.

Get In Touch

  • Dar Es Salaam
    Chato Street, Morroco
  • +255779626282
  • info@tls.or.tz
  • Mon - Fri : 9.00 to 17.00

Upcoming Events

WhatsApp us