TANGAZO KWA UMMA

KUITWA KWENYE USAILI

  • Tume ya Utumishi wa Mahakama ni chombo kilichoundwa kwa mujibu wa aya ya 112(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 ikisomwa pamoja na  Sheria ya Uendeshaji wa  Mahakama Na. 4/2011, Tume ya Utumishi wa Mahakama mbali na kuwa na majukumu mengine inalo jukumu la kuajiri  watumishi wa kada mbalimbali wa Mahakama.
  • Bonyeza hapa kusoma zaidi TANGAZO LA USAILI NOVEMBA, 2017

You may also like

Leave A Comment

Please enter your name. Please enter an valid email address. Please enter message.