TAARIFA MUHIMU: UENDESHAJI WA MASHAURI YA MIGOGORO YA KIKAZI MAHAKAMA KUU KITENGO CHA KAZI DAR ES SALAAM

Ndugu mwanachama, salaam kutoka chama cha Wanasheria Tanganyika

Tunapenda kukutaarifu kuwa tumepokea barua kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Kazi Dar es Salaam, ambayo inatoa utaratibu wa uendeshaji wa Mashauri ya Migogoro ya Kikazi Dar es Salaam kwanzia  Jumatatu tarehe 30/03/2020  kutokana na mlipuko wa Virusi vya Korona (COVID-19)

Barua imeambatanishwa yenye kueleza utaratibu huo. Bonyeza hapa kusoma barua

 

Calendar
August 2022
M T W T F S S
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031  

Get In Touch

Latest Posts

Shopping Cart

No products in the cart.