Raisi wa Chama cha Wanasheria Tanzania Bara amehudhuria kikao kinachoendelea katika ukumbi wa mikutano wa Mahakama ya Rufani jijini Dar es salaam chenye lengo la kufanya tathimini ya jinsi mashauri yalivyofanyika kwa ujumla, changamoto zilizojitokeza na namna ya kuboresha zaidi katika vikao vingine vijavyo. Wadau wengine wa mkutano huo ni pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mkurugenzi wa Mashtaka, Mwanasheria wa Serikali Mfawidhi, Mkuu wa Gereza Afisa wa Polisi Kanda Maalum na Mahakama ya Tanzania.

Image may contain: 1 person

You may also like

Leave A Comment

Please enter your name. Please enter an valid email address. Please enter message.