MAELEZO ZAIDI KUHUSU PROXY

MAELEZO ZAIDI KUHUSU PROXY

  • Member mmoja anaweza kuwa Proxy kwa members wenzake wawili.
  • Member na Proxy wake wanapaswa kuwa members in good standing.
  • Kila Mkutano una Proxy zake. Maana yake huwezi kuwa na proxy moja inayokuwezesha kupiga kura kwenye AYL, Zonal na AGM. Hivyo basi, Member akipewa Proxy anapaswa kupewa kulingana na Mkutano anao hudhuria. Mfano. Member akitaka mwenzie awe Proxy wake kwenye AYL, Zone na AGM atapaswa kumpa Proxy tatu ya AYL, Zone na AGM. Member huyo huyo anaweza kupewa tena na Member mwingine kuwa Proxy kwenye mikutano hiyo yote. Hivyo kila Mkutano atakua ana proxy form mbili while in fact, atakua na Proxy form 6.
  • Proxy form inapaswa kusainiwa na Member anayetoa Proxy. Tunatambua form haina sehemu maalum ya kusainia. Hivyo muhusika atapaswa kuisaini Proxy form yake chini maneno “signed this…. day of……… 2022.” Kisha atampa wakili yeyote afanye attestation.
  • Proxy zinatakiwa kufika siku tatu kabla ya Mkutano husika. Kwa AYL na Zone by 22nd May; kwa GM by 24th May. Kwakua 22nd May ni jumapili unaweza kuleta Proxy jumatatu tarehe 23rd May.
  • Proxy zote zinaletwa Secretariat either kwa email or physical. Kama kwa email, scan Proxy yako kisha tuma kwa mothman@tls.or.tz copy to info@tls.or.tz. Original italetwa na Proxy holder siku ya mkutano husika.
  • Member anaweza kukusanya Proxy za wenzake na kuziscan na kuzituma zote kwa pamoja. Ili mradi original copy abaki nayo Proxy holder.
  • Siku ya kupiga kura, Proxy mwenye form 2 atapewa kura tatu; ya kwake na za wenzake wawili katika kila Mkutano aliopewa Proxy.

Naimani sms hii imejibu maswali ya wengi kuhusu Proxy.

Kama bado unaswali kuhusu Proxy usisite kuuliza. Asanteni

Leave a Comment

Calendar
August 2022
M T W T F S S
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031  

Get In Touch

Latest Posts

Shopping Cart

No products in the cart.