Baraza la Uongozi la Chama cha Mawakili Tanzania Bara (TLS) limepokea taarifa za kukamatwa na kushikiliwa kwa mwanachama mwenzetu na baadhi ya vyombo vya dola kwa mahojiano. Mwanachama huyo ndugu MANENO MBUNDA, mwenye namba ya uwakili 5902 ni mwajiriwa wa Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (TANAPA) na pia yupo chini ya usimamizi wa Mwanasheria Mkuu […]

Read More

TLS inaendesha mafunzo ya siku tano yaliyoanza leo tarehe 20/8/2018 na yanayotarajiwa kumalizika tarehe 24/8/2018. Mafunzo hayo yameandaliwa na Chama cha Wanasheria Tanzania Bara (TLS), kwa kushirikiana na Wizara ya Katiba na Sheria, na Shule ya Mazoezi ya Sheria (Law School of Tanzania). Lengo la semina hii ni kuwajengea uwezo wakufunzi wa mafunzo kwa Wakufunzi […]

Read More