logo
  • Home
  • About
    • Who We Are
    • What We Do
    • Leadership
      • TLS Governing Council
      • Chapters
      • TLS Committees
      • TLS Secretariat
    • STRATEGIC PLAN 2020-2024
  • Projects
  • Resources
    • Publications
      • Council Reports
      • Financial Reports
      • Research Report
      • Reports
      • Other Publications
    • Legislation
      • Main Legislation
      • Orders
      • Rules
      • subsidiary legislation
    • Regulation
    • Free CLE Points
  • Media
    • Wakili TV
    • Newsletter
    • gallery
  • Opportunities
  • Download Center
  • Contact
Need help? Talk to an expert
+255222775313
logo
logo
TLS NEWS
  • 1 February 2024
  • Salima Mseta
  • 0 Comments

Mpendwa Mwanachama,

Ni matumaini yetu una afya njema na unaendelea na shughuliza zako za kila siku,

Kumekuwa na utaratibu wa mawakili kupata adhabu ya asilimia Hamsini ya ada ya Mahakama pale ambapo wanachelewa kuhuisha leseni zao. Adhabu hii imekua ikitolewa kuanzia tarehe 01 mwezi Februari kila mwaka.

Kutokana na kuwekwa kwa adhabu hii kinyume na  Kanuni ya 5 ya Advocates (Admission and Practising Certificate ) Regulations GN No. 62 ya mwaka 2015, Mtendani Mkuu wa TLS   amefanya kikao na Kaimu Msajili Mkuu wa Mahakama tarehe 31 Januari,2024 katika ofisi ya Msajili Mkuu wa Mahakama, Dodoma, ambapo pamoja na mambo mengine kikao hicho kimejadili swala hili ili kuona namna gani adhabu hii inaweza  kutozwa kwa mujibu wa kanuni  hii na si vinginevyo.

Tunapenda kuwataarifu  wanachama wetu kuwa, Mhe. Kaimu Msajili Mkuu wa Mahakama amelipokea swala hili na kuahidi kulifanyia kazi kwa kulifikisha kwa uongozi wa juu wa Mahakama kwa marekebisho au muongozo zaidi. Mhe Kaimu Msajili Mkuu wa Mahakama, ameahidi kutupa mrejesho wa swala hili mapema iwezekanavyo ili Mawakili wasiendelee  kutozwa adhabu hii kinyume na kanuni na kuhakikisha taratibu za kuhuisha leseni ya uwakili zinafata mwongozo uliowekwa katika  Kanuni ya 5 ya Advocates (Admission and Practising Certificate ) Regulations GN No. 62 ya mwaka 2015.

Nawatakia mafanikio mema katika majukumu yenu.

TAARIFA-KWA-WANACHAMA-WA-TLS-1Download

Regards,

|Tanganyika Law Society Secretariat

|Plot No. 391|Chato Street|Regent Estate |P.O. Box 2148, Dar es Salaam, Tanzania; Tel: +255 222775313

Tags: #TLSNEWS
  • Share Article :

Leave A Comment Cancel reply

Chato Street,
Dar es Salaam, Regent Estate,
Call us on: +255222775313
Mail us: info@tls.or.tz
To promote professional excellence for efficient legal service delivery to ensure access to justice and rule of law.
Newsletter
Subscribe our newsletter to get our latest update & news
© 2023 Tanganyika Law Society. All rights reserved.
Made by with TLS

WhatsApp us