Ndugu mwanachama, salaam kutoka chama cha Wanasheria Tanganyika
Tunapenda kukutaarifu kuwa tumepokea barua kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Kazi Dar es Salaam, ambayo inatoa utaratibu wa uendeshaji wa Mashauri ya Migogoro ya Kikazi Dar es Salaam kwanzia Jumatatu tarehe 30/03/2020 kutokana na mlipuko wa Virusi vya Korona (COVID-19)
Barua imeambatanishwa yenye kueleza utaratibu huo. Bonyeza hapa kusoma barua