Mkoa wa Dar es salaam wafanya Mkutano Mkuu wa Mwaka 2019

admin
Mkoa wa Dar es salaam wafanya Mkutano Mkuu wa Mwaka 2019 ( TLS Dar Chapter AGM 2019) katika ukumbi wa mikutano wa Shule ya Sheria jijini Dar es salaam.
Lengo ni kujadili maendeleo ya wanachama pamoja na mipango mikakati ya chama hicho kwa ngazi mkoa.