Hivi ndivyo Sekretarieti ya Chama wa Wanasheria Tanzania Bara (TLS) ilivyoungana na familia ya aliyekuwa Raisi wa chama hicho Bwana EVARIST. H MBUYA kuuaga mwili wake ambao ulisafirishwa jana kuelekea Moshi.Image may contain: 12 people, people standing and wedding

Kwa niaba wa wanachama wote wa TLS Sekretarieti ilifikisha salam za rambirambi na kutoa neno la thamani juu ya mchango wake mkubwa katika kuiimarisha TLS mwaka wa 1999.Image may contain: 7 people, people standing and indoor

Bwana Evarist Mbuya ni miongoni wa viongozi walioanzisha mfuko wa DATF wa wanachama hao ambao unafanya vyema. Msiba huo uliudhuriwa na wanasheria mbalimbali wakiwemo maraisi wa chama hicho kwa miaka ya 90’s .Image may contain: 8 people, suitImage may contain: 4 people, people standing and outdoorImage may contain: 2 people, people sitting and indoor

 

ATAKUMBUKWA DAIMA.

You may also like

Leave A Comment

Please enter your name. Please enter an valid email address. Please enter message.