TLS inaendesha mafunzo ya siku tano yaliyoanza leo tarehe 20/8/2018 na yanayotarajiwa kumalizika tarehe 24/8/2018. Mafunzo hayo yameandaliwa na Chama cha Wanasheria Tanzania Bara (TLS), kwa kushirikiana na Wizara ya Katiba na Sheria, na Shule ya Mazoezi ya Sheria (Law School of Tanzania). Lengo la semina hii ni kuwajengea uwezo wakufunzi wa mafunzo kwa Wakufunzi […]

Read More